YOUTH KINGDOM MINISTRIES (YKM).
Zifuatazo chini ni huduma zote
tisa za YKM na maelezo yake kwa ufanisi hivyo pata muda wa kuzisoma na
kuzielewa vizuri na kama utapenda kujiunga na mojawapo ya huduma hizi usisite
kuwaona wahusika kwa ufafanuzi zaidi. Barikiwa unapochukua muda wako kuzisoma.
1. Kingdom Inspiration
Isaiah 41:6-7.
Isaiah 41:6-7.
Hii inahusika kwa kiasi
kikubwa katika kuwatia na kuinua mioyo ya watu katika utendaji wa kazi ya
Mungu.
YKM imeanzisha huduma
hii kwa sababu vijana wengi wamekuwa wakitenda kazi ya Mungu ila wanapokumbana
na changamoto mbalimbali wanajikita wanakata tamaa mapema na kurudi nyuma.
Hivyo basi YKM imekuwa
ikiwatia vijana moyo na kuwaeleza kuwa upo ushindi wanapokumbana na changamoto
kupitia neno la Mungu.
2. Mindset Upgrade
Rom 12:2, col 3:1-2
Rom 12:2, col 3:1-2
Hii huhusika na
kubadilisha mitazamo na fikra za vijana juu ya kusudi la Mungu ndani yao.
Hivyo YKM ilianzisha
huduma hii kutokana na kuona kuwa vijana wengi wamejengwa katika mitazamo
inayoonekana mizuri kwao ila si sahihi
na Mitazamo hii inatokana na msingi waliojengewa tangu wakiwa watoto. mfano
mahubiri, marafiki, walimu, wazazi, ndugu nk.
Hivyo sasa YKM kupitia
huduma hii hutoa Taarifa zilizo sahihi ambazo hujenga ufahamu wa vijana juu ya
ufalme wa Mungu kupitia simu za mkononi, semina, makongamano, mitandao
mbalimbali ya kijamii.
3. Kingdom charity.
Matendo 20:35
Matendo 20:35
Ni huduma ndani ya YKM
inayolenga kuigusa jamii moja kwa moja kwa kuwasaidia wahitaji kama
yatima,walemavu,wajane na watu wenye uwezo wa hali ya chini.
Imebebwa na mstari
katika biblia kutoka:-
Matendo 20:35
“katika
mambo yote nimewaonyesha ya kuwa kwa kushika kazi hivi imewapasa kuwasaidia
wanyonge,na kuyakumbuka maneno ya Bwana Yesu,jinsi alivyosema mwenyewe,Ni heri
kutoa kuliko kupokea.”
Ni sahihi kwamba huwezi
kutoa kitu kama huna hicho kitu… ”you
can’t give what you don’t have”
Ndo maana hata katika
mstari juu “……kwa kushika kazi hivi
imewapasa kuwasaidia wanyonge….”ina maana kuna kufanya kazi ili upate cha
kuwasaidia wanyonge na wasio jiweza.
Ni heri kutoa kuliko
kupokea maana katika kutoa kuna baraka.Katika biblia ya kiingereza imesema…”it is more blessed to give than to
receive”
Na sio kutoa tuu vitu
tulivyonavyo kwa jamii ila pia tunatoa nguvu zetu na muda wetu kuitumikia
jamii…mfano kufanya usafi maeneo kama ya hospitali.
Ni kwel kuna wakati mtu
anahitaji kutoa vitu vingi lakini hana uwezo ila mimi naamini kutoa huanzia
moyoni,kama unahitaji kutoa na hauna hiyo pesa,bado unaweza kutoa muda na nguvu
zako tu kuwasaidia wahitaji maana sio kila wakati nao wanahitaji vitu,kuna
wakati wanahitaji mtu wa kuongea nae tu,wakati mwingine anataka tabasamu tu.
4. Gospel corner
Mathew 28:16-20
Mathew 28:16-20
According to Mathew
28:16-20
“16. Then the eleven
disciples went away into Galilee, into a mountain where Jesus had appointed
them. 17. And when they saw him, they worshipped him; but some doubted. 18. And
Jesus came and spake unto them saying, all power is given unto me in heaven and
in earth. 19. GO YE THEREFORE, AND TEACH ALL NATIONS, BAPTIZING THEM
IN THE NAME OF THE FATHER, AND OF THE SON, AND OF THE HOLY GHOST: 20.TEACHING
THEM TO OBSERVE ALL THINGS WHATSOEVER I HAVE COMMANDED YOU: AND LO, I AM WITH
YOU ALWAY, EVEN UNTO THE END OF THE WORLD. AMEN”
The Kingdom Gospel
Corner according to the guiding verse from the gospel of Mathew 28:16-20, is
the Ministry of teaching and preaching to all nations, baptizing them and
teaching them to observe all things which he (Jesus) commanded!!
What is all the
teaching and preaching about?
The teaching and
preaching that Jesus commanded unto YKM as ministry of Kingdom Gospel Corner is
all about the Kingdom of God!!
Mathew 24:14 “And
this Gospel of the Kingdom shall be preached in the entire world for a
witness unto all nations; and then shall the end come.”
Mathew 4:23 “and Jesus
went about all the Galilee, teaching in their synagogues and preach the Gospel
of the Kingdom and healing all manner of sickness and all manner of disease
among people.”
Mathew 9:35 And Jesus
went about all the cities and villages, teaching in their synagogues, and
preaching the Gospel of the Kingdom, and healing every sickness and
every disease among the people.
What YKM Kingdom Gospel
Corner Ministry has done!
It has reached many
youth in different areas such as in Colleagues, Universities, working places (offices),
Streets, Market places, teaching and preaching about the Kingdom of God!
Many youth who were
reached by this Ministry, their attitude towards life changed and they believed
in Christ as their savior.
What can be done by
Kingdom Gospel Corner Ministry.!
Extending the gospel
boundaries to the prisoners in the prisons, through one to one preach and
teaching, tapes and DVDs/VCDs.
Preaching and Teaching
the Gospel to the Patients in the Hospitals and praying for the sick God to
heal them.
Preaching and Teaching
the Gospel to Secondary school students for the purpose of building a strong
foundation of the word of God.
5. Kingdom ladies
Ezra 9:2, 2Korintho 6:14
Ezra 9:2, 2Korintho 6:14
MOTTO: LADIES WITH
VALUE.
Connecting Ladies to
the Kingdom of God!
Creating Connections!
Creating Connections!
Why Ladies? Why should
ladies connect? How should they connect? Who should they connect with/to? These
are profound questions, look around and you will see that girls or ladies are
victims of a lot of things and especially sexual relationships.
Why Ladies…
Why Ladies…
Ladies are:
ü Center
of attraction
ü Center
attention
ü Center
of attacks
In the Kingdom, any
connection is divine, thus it takes the God Himself, Kingdom connections
affects the whole being of a person, his or her personality.
Any Kingdom connection is linked to your destiny or the purpose of your life. There must be a reason for connection, the reason will sustain or kill connections. It takes a person to be connected to, not things because people are the ones who gives value to things
“The First and Highest level of connection is to be connected to God Himself through Jesus”
Any Kingdom connection is linked to your destiny or the purpose of your life. There must be a reason for connection, the reason will sustain or kill connections. It takes a person to be connected to, not things because people are the ones who gives value to things
“The First and Highest level of connection is to be connected to God Himself through Jesus”
6. Kingdom gent’s
I wafalme 2:2-3, wakolosai 1:13-14
zaburi 125
I wafalme 2:2-3, wakolosai 1:13-14
zaburi 125
MOTTO: PERFORMANCE WITH
PURPOSE
Kuwapa gents mwanya wa
kujadili na kusaidia kwenye mambo mbalimbali juu ya ufalme wa Mungu na juu ya
maisha ya kila siku na bila kusahau majukumu yao kama wanaume.
Kutatua changamoto
mbalimbali zinazowakumba wanaume katika makundi mbalimbali na jamii. Mfano:
umasikini, kushindwa kutumika kwa ujasiri shambani mwa Bwana kuvunjika kwa
familia nyingi.
Kuyatazama kwa ukaribu
maswala yaliopewa wepesi katika makanisa, kwa kuyajadili kiundani mfano:
kijinsia, uchumba, ndoa,na mchango wa familia imara katika maisha ya
wokovu.(looking a man as a head of a family)
Kuzifichua sababu
binafsi zinazoharibu jamii zetu hasa ambazo chanzo ni wanaume.
7. Kingdom transformer
Acts 17:6
Acts 17:6
Kingdom Transformers is
inspired by our motto “Leadership that transforms”, not only
being leaders but leaders who are filled with the power of the Holy Spirit to
be able to transform the world starting with our families. With KT, holding
Kingdom Transformers Leadership Gatherings every after a month around the
country we help youth discover, develop and nurture their leadership
potentials into matured Godly leaders for holistic transformation,
standing in the gap for God.
Our vision with this ministry is to make this confession a reality as written Acts 17:6 “And when they couldn’t find them, they dragged Jason and some of the brothers before the city authorities, shouting, “These men who have turned the world upside down have come here also”
Our vision with this ministry is to make this confession a reality as written Acts 17:6 “And when they couldn’t find them, they dragged Jason and some of the brothers before the city authorities, shouting, “These men who have turned the world upside down have come here also”
8. The bridge is Today (tBiT)
Mhubiri 12:1
Mhubiri 12:1
MOTTO: SHAPING YOUR
DESTINY TODAY.
The Bridge is Today
(tBiT) is one of the ministries from Youth Kingdom Ministries (YKM) that
delivers the message of encouragement, hope and edification. It recognizes the
value of the past, signifies the importance of living today and maximize what
today offers and establishing the necessary steps and preparations for the
future. It’s because there is a direct link between what happens today and what
will happen tomorrow. Today matters (gets its value and significance) if there
is hope (expectation and optimism) for tomorrow and the value, importance of
tomorrow is hidden in the discovery, exploits and maximization of today’s
opportunities. The significance, meaning and value
of today is dependent upon the desire and hope that the future holds something
more precious than just temporal tangible things of today. This call for Looking
Ahead Today (LAT) implying,
ü No
more excuses on your life including actions, decisions and behavior
ü You
must be diligent, determined and focused in doing what you do today
ü High
level of accountability is expected
ü Connection
between what you say, think, act and
“Never satisfy your
hunger, never feed your physical body at the expense of your future but use
what you have today to invest for what you hope in the coming future because
you are too far from your past and very close to your future and the bridge is
today”
“The way you choose to look at what happened behind you(ULIKOTOKA) affects how you look and maximize life now(ULIPO) and determines how far you can see ahead of you for making your whole life meaningful (UNAKOENDA)”
9. Kingdom worship
John4:3
John4:3
MOTTO: YOUR PRESENCE IS
MY DESTINY
We teach Youth to
become true worshippers according to what the bible teaches, so with this
ministry we teach Youth to understand the depth and meaning of worship in just
simple words to make them enjoy and maximizing their relationship with God.
0 comments:
Post a Comment